Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku?
Share this book Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku? Imepokelewa na ibn abbas ya kuwa mtume ﷺ amesema: hakuna siku ambazo vitendo njema inapendezwa mbele ya Allah kuliko hizi siku. (yaani siku kumi za Dhil hijja.) Wakasema: hata jihad kwa njia ya Allah? Akasema ﷺ, hata jihad kwa njia ya Allah, isipokuwa yule mwenye […]
Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku? Read More »









