
Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku?
Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku? Imepokelewa na ibn abbas ya kuwa mtume ﷺ amesema: hakuna siku ambazo vitendo njema inapendezwa mbele ya Allah kuliko hizi siku. (yaani siku kumi za Dhil hijja.) Wakasema: hata jihad kwa njia ya Allah? Akasema ﷺ, hata jihad kwa njia ya Allah, isipokuwa yule mwenye ametoka na nafsi yake na Mali yake na hakurudi na chochote. Na vitendo njema inajumuisha ibada za Aina tofauti, kama vile saum, salah, hajj, Dhikr na kusema Allahu Akbar, kusoma Quran,...
Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku?
Siku za Dhil Hijja.
Kivipi tutakaribisha hizi siku?
Imepokelewa na ibn abbas ya kuwa mtume ﷺ amesema: hakuna siku ambazo vitendo njema inapendezwa mbele ya Allah kuliko hizi siku. (yaani siku kumi za Dhil hijja.)
Wakasema: hata jihad kwa njia ya Allah? Akasema ﷺ, hata jihad kwa njia ya Allah, isipokuwa yule mwenye ametoka na nafsi yake na Mali yake na hakurudi na chochote.
Na vitendo njema inajumuisha ibada za Aina tofauti, kama vile saum, salah, hajj, Dhikr na kusema Allahu Akbar, kusoma Quran, kutoa sadaqa kwa njia za kheir na zinginezo.
Ile ambaye inahimizwa hizi siku ni:
1. Kufunga saum isipokuwa siku ya kumi. Imepokelewa na baadhi za bibi wa mtumeﷺ amesema: ilikuwa mtumeﷺ akifunga siku ya tisa ya Dhil hijja, siku ya arafa, ambaye mja anasamehewa madhambi ya miaka miwili.
2. Hajj: hii ndo bora kufanya hizi siku, mtume ﷺ amesema : hajj iliyokubalika haina thawabu isipokuwa jannah.
3. Kuchinja na ni sunnah iliyohimizwa. Yeyote mwenye anataka kuchinja hakati nywele wala kucha pindi mwezi wa Dhil hijja itaingia mpaka siku atachinja.
4. Kuleta kwa wingi la illaha ila Allah, Allahu Akbar, AlhamdullillaAllah. Na sifa yake ni :
Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar, La illaha ila Allah, Allahu Akbar, Allahu Akbar wa lillahil hamd.
عشر ذي الحجة
File | Action |
---|---|
photo_٢٠٢٤-٠٦-٠٨_٢٠-١٠-١٩.jpg | Download |

Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku?
Scan QR Code | Use a QR Code Scanner to fast download directly to your mobile device