Swahili Kiswahili السواحلية ??

43 سواحلي ?? kwa kiswahili ـ Uislamu-maahad ya sunnah. Inasimamiwa na:Dr. Haytham sarhaan.
اللغة السواحلية
kiswahili

YouTube
https://www.youtube.com/channel/UCl_5eIx1FK7yGrPPFC1KGjw

https://youtube.com/@swahilisunnahinstitute

https://youtube.com/playlist?list=PLBFEt29we81RSyzi41l8uf1tvXvDO4n9e

Facebook
https://www.facebook.com/pg/43-%D8%B3%D9%88%D8%A7%D8%AD%D9%84%D9%8A-D-Haythem-sarhan-113908833334500/community/

Telegram
https://t.me/hsarhan41

https://whatsapp.com/channel/0029VaDHYraEVccKt5Y7Sv1k

?https://sarhaan.com/a/swahili-kiswahili-%d8%a7%d9%84%d8%b3%d9%88%d8%a7%d8%ad%d9%84%d9%8a%d8%a9/

Site
https://alsarhaan.com/swa

Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kwa fadla ya Allah hii ndo kituo chetu mpya kwa lugha ya kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCVjvT26ZoWWPs49Xu6oS_Ag

Iko tayari kwa ukaguzi, Je munaweza kutusaidia kukagua na kutuma maoni.

Na pia kushiriki katika kituo na kutuma katika Vikundi.

Allah ajalie iwe katika mizani yenu.

Facebook (https://www.facebook.com/pg/43-%D8%B3%D9%88%D8%A7%D8%AD%D9%84%D9%8A-D-Haythem-sarhan-113908833334500/community/)

السواحلية Kiswahili
مناطق التحدث بها:المنطقة الشرقية والمركزية من إفريقية، ككينيا، وتنزانيا، وزائير
عدد الناطقين بها: نحو ٥۰ مليوناً

Tafsiri ya maana ya Qur’an Tukufu kwenye lugha ya Kiswahili

Share this book                  Qur’ani ni hotuba nzuri zaidi kwa sababu ni neno la Mungu, lililofunuliwa na malaika bora (Jibril, amani iwe juu yake), kwa moyo wa wajumbe bora zaidi (Muhammad, Mungu amrehemu na ampe amani) , mahali pazuri (Makka Al-Mukarramah), kwa wakati mzuri (mwezi wa Ramadhani), katika usiku mzuri zaidi (usiku).Wa lailatu qadri ), na […]

Tafsiri ya maana ya Qur’an Tukufu kwenye lugha ya Kiswahili Read More »

VIGAWANYO NA MISINGI (KANUNI) ZA KITABU CHA “ALQAULUL- MUFID”(MANENOYENYE FAIDA)

Share this book                  Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan nacho ni ufupilizo wa kitabu الفول المفيد على كتاب التوحيد للعلامة العثيمين رحمه الله ambacho kinazingatiwa ni katika vitabu vyenye manufaa katika zama zetu hizi katika kubainisha tawhiid ambayo ameiwajibisha Allaah kwa waja wake, na kubainisha yale yanayopingana na msingi huu wa tawhiid

VIGAWANYO NA MISINGI (KANUNI) ZA KITABU CHA “ALQAULUL- MUFID”(MANENOYENYE FAIDA) Read More »

kipeperushi kifupi kwa lugha ya kiswahilii, ametunga Dr Haytham sarhaan

Share this book                  kipeperushi kifupi kwa lugha ya kiswahilii, ametunga Dr Haytham sarhaan ametaja ndani yake mambo muhimu yanayohusiana na funga za lazima na za sunna na wakati gani inachukizwa funga na wakati gani inaharamishwa pamoja na kutaja ahkaamu muhimu za kifiqhi zinazohusiana na zakaatul fitri na swala ya eid

kipeperushi kifupi kwa lugha ya kiswahilii, ametunga Dr Haytham sarhaan Read More »

Jifunze kuandika kiarabu _Khati ya ya Quraan juzuu amma

Share this book                  Kitabu kwa lugha ya kiingereza amekitunga Dr Haytham Sarhaan, kinalenga kufundisha hati ya naskhi kwa kupitia hatua kwa hatua katika kujifundisha kuandika herufi kwa hali tofauti tofauti kisha kisha kufanyia kazi katika matni za kielimu, kama kinavyolenga pia kujifunza hati ya ‘uthmaan nayo ni hati ambayo imeandikiwa mas-haf katika zama za ‘uthmaan

Jifunze kuandika kiarabu _Khati ya ya Quraan juzuu amma Read More »

MAFUNZO MUHIMU KWA UMMAH MZIMA

Share this book                  Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr.Haytham Sarhaan nayo ni sherhe ya matni ya الدروس المهمة لعامة الامة ya imaam ibn baaz Rahimahu llaah Amekusanya ndani mkusanyiko wa elimu za kisheria zenye kuhusiana na hukmu za kifiqhi na aqida na tabia ambazo inapasa watu wote wazifahamu. Amekiweka mtunzi katika mpangilio mzuri wa

MAFUNZO MUHIMU KWA UMMAH MZIMA Read More »

Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan

Share this book                  Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan Kinakusanya mambo ya fuatayo:- 1- Maswali ya kaburini matatu. Nayo ni risala yenye thamani imekusanya misingi ya wajibu kwa mwanadamu kuitambua na ambayo anaulizwa kaburini, na aina za ibada alizoamrisha Allaah na kubainisha daraja za dini. 2-القواعد الأربع Risala fupi ambayo inabainisha kanuni

Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan Read More »

Ni nani Mtume Muhammad ﷺ, na kitu gani ametufundisha?

Share this book                  من هو النبي محمّد ﷺ وماذا علمنا؟ Ni nani Mtume Muhammad ﷺ, na kitu gani ametufundisha? هو الذي دافع عن حقوق كل البشر منذ 1400 عام. Yeye ndio ametetea haki zote za viumbe tangu miaka 1400 ilopita. حفظ الرجال، والنساء، والصغار والضعفاء. Amehifadhi haki za wanaume, wanawake, watoto na wanyonge. حفظ حقوق الحيوان

Ni nani Mtume Muhammad ﷺ, na kitu gani ametufundisha? Read More »

Scroll to Top