Free DownloadTufaha ya macintosh imeshangaza watu duniani, lakini nani ameumba tufaha ambaye tunakula?
البحث عن الحقيقة اللغة السواحلية Tufaha ya macintosh imeshangaza watu duniani, lakini nani ameumba tufaha ambaye tunakula? Stethescopu iligunduliwa na daktari mfaransa, lakini nani ameumba masikio ambayo inatusaidia kusikia kila kitu? Kikokotoo iligunduliwa na mfaransa pascal, lakini nani aliumba bongo ya binadamu ambaye iko sawa na kikokotoo millioni moja inayofanya kazi wakati moja? Taa ya…

