Haya Tujifunze
Share this book Haya Tujifunze: Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr. Haytham sarhaan , kinalenga kumfundisha mtoto wa kiislam misingi ya dini na akhlaq na afabu za kiislam kupitia usulubu wenye kuvutia, kimekusanya baina ya usahihi wa mafundisho na kujilazimisha na vidhibiti vya kisheria na kuchunga mapenzi ya watoto katika michezo na kujiliwaza na kuwavutia. […]