Jifunze kuandika kiarabu _Khati ya ya Quraan juzuu amma

Jifunze kuandika kiarabu _Khati ya ya Quraan juzuu amma

Kitabu kwa lugha ya kiingereza amekitunga Dr Haytham Sarhaan, kinalenga kufundisha hati ya naskhi kwa kupitia hatua kwa hatua katika kujifundisha kuandika herufi kwa hali tofauti tofauti kisha kisha kufanyia kazi katika matni za kielimu, kama kinavyolenga pia kujifunza hati ya 'uthmaan nayo ni hati ambayo imeandikiwa mas-haf katika zama za 'uthmaan Radhiya llaah anhu kupitia kufanyia kazi kimatendo katika juzuu amma. Kitabu kizuri kinawafaa watoto na wakubwa na wanaozungumza kiarabu na wasiozungumza. ...

Read More
FileAction
quran front swahiliViewDownload
quran back swahiliViewDownload
Jifunze kuandika kiarabu _Khati ya ya Quraan juzuu ammaViewDownload
Internal PDF Viewer
Jifunze kuandika kiarabu _Khati ya ya Quraan juzuu amma
FAST DOWNLOAD

Jifunze kuandika kiarabu _Khati ya ya Quraan juzuu amma

Scan QR Code | Use a QR Code Scanner to fast download directly to your mobile device

Downloads
Scroll to Top