Dalili za utume na alama za utume
(دلائل النبوَّة) و(أعلام النبوَّة) Dalili za utume na alama za utume القرآن الكريم QUR-AAN TUKUFU قال يحي بن أكثم: كان للمأمون وهو أمير إذ ذاك مجلس نظر – أي مجلس مناظرات- فدخل في جملة الناس رجل يهودي حسن الثوب حسن الوجه طيب الريح. Amesema yahya ibn aktham: Alikuwa na maamun vikao vya mijadala akaingia miongoni mwa watu myahudi mwenye mavazi mazuri uso mzuri...
Dalili za utume na alama za utume
(دلائل النبوَّة) و(أعلام النبوَّة)
Dalili za utume na alama za utume
القرآن الكريم
QUR-AAN TUKUFU
قال يحي بن أكثم: كان للمأمون وهو أمير إذ ذاك مجلس نظر – أي مجلس مناظرات- فدخل في جملة الناس رجل يهودي حسن الثوب حسن الوجه طيب الريح.
Amesema yahya ibn aktham: Alikuwa na maamun vikao vya mijadala akaingia miongoni mwa watu myahudi mwenye mavazi mazuri uso mzuri na harufu nzuri.
قال: فتكلم فأحسن العبارة.
Akasema: akazungumza na akatafabya vizuri mazungumzo yake.
قال: فلما انفض المجلس دعاه المأمون فقال له: اسرائيلي انت –يعني يهودي-؟.
Akasema: kilipoisha kikao alimuita maamun na akamwambia wewe ni myahudi?
قال: نعم.
Akasema: Ndio
قال: له أسلم حتى أفعل بك وأصنع لك، ووعده المأمون خيرا إن أسلم.
Akasema: ingia katika uislam ili nikufanyie kadha na kadha na maamuun alimuahidi kheri nyingi akisilimu
فقال اليهودي: بل ديني ودين آبائي. ثم انصرف.
Akasema myahudi bali nabaki na dini yangu na dini ya baba zangu kisha akaondoka
قال: فلما كان بعد سنة جاءنا اليهودي مسلما.
Akasema: baada ya kupita mwaka mmoja alitujia myahudi hali ya kuwa ni muislam.
قال: فتكلم في الفقه والحديث فأحسن الكلام فلما انفض المجلس. دعاه المأمون وقال: له ألست صاحبنا بالأمس؟
Akazungumza katika fiqhi na hadiith akazungumza vizuri kilipoisga kikao akaitwa na maamuun na akamwambia sio wewe rafiki yetu wa siku zilizopita?
قال: بلى.
Akasema: ndio
قال: فما سبب إسلامك.
Akasema ni ipi sababu ya uislam wako
قال اليهودي: اسمع وقل الله اكبر، انصرفت من مجلسك في ذاك اليوم فأحببت ان امتحن هذه الاديان وأنا احسن الخط – يعني اجيد الكتابة- فعمدت إلى التوراة فكتبت ثلاث نسخ فزدت فيها ونقصت منها وادخلتها الكنيسة فاشتريت مني ولم يكلفوا انفسهم أن يقرؤوها أو يراجعوها ثم عمدت إلى الإنجيل فكتبت ثلاث نسخ فزدت فيها وانقصت منها وادخلتها البيعة –معابد اليهود- فاشتريت مني ولم يقرؤوها أو يراجعوها ثم عمدت إلى القرآن فكتبت ثلاث نسخ وأدخلتها إلى الوراقين قالوا لا نقبلها حتى نقرأها ونراجعها فاكتشفوا أخطاءها واكتشفوا الزيادة والنقصان فقاموا واحرقوها وكادوا يقتلونني فعلمت أن هذا كتاب محفوظ من الله فكان هذا سبب إسلامي.
Akasema myahudi sikia na sema Allaahu Akbar nilipoondoka kutoka katika kikao chako ile siku nikapenda nizitahizni hizo dini na mimi ni mwenye hati nzuri yaani naandika vizuri nikaikusudia tawraat nikaandika chapa tatu nikazidisha na nikapunguza na nikaipeleka kanisani wakanunua kutoka kwangu wala hawakujilazimisha kuisoma au kuipitia.
kisha nikaikusudia injiil nikaandika chapa tatu nikazidisha na nikapunguza na nikaipeleka hekalu wakanunua kutoka kwangu wala hawakujilazimisha kuisoma au kuipitia.
kisha nikaikusudia Qur-aan nikaandika chapa tatu nikapeleka kwa waandishi (wachapaji) wakasema hatukubali mpaka tuisome au tuirejee wakagundua makosa wakagundua yaliyozidi na yaliyopungua wakazichoma moto, na walikaribia kuniua nikatambua ta kwamba hiki kitabu ni chenye kuhifadhiwa na Allaah, ikawa hii ni sababu ya uislamu wangu.
دلائل النبوة
Dalili za utume na alama za utume
Scan QR Code | Use a QR Code Scanner to fast download directly to your mobile device