Ni nani Mtume Muhammad ﷺ, na kitu gani ametufundisha?
من هو النبي محمّد ﷺ وماذا علمنا؟ Ni nani Mtume Muhammad ﷺ, na kitu gani ametufundisha? هو الذي دافع عن حقوق كل البشر منذ 1400 عام. Yeye ndio ametetea haki zote za viumbe tangu miaka 1400 ilopita. حفظ الرجال، والنساء، والصغار والضعفاء. Amehifadhi haki za wanaume, wanawake, watoto na wanyonge. حفظ حقوق الحيوان والنبات وحث على الاعتناء بالأرض. Amehifadhi haki za wanyama...
Ni nani Mtume Muhammad ﷺ, na kitu gani ametufundisha?
من هو النبي محمّد ﷺ وماذا علمنا؟
Ni nani Mtume Muhammad ﷺ, na kitu gani ametufundisha?
هو الذي دافع عن حقوق كل البشر منذ 1400 عام.
Yeye ndio ametetea haki zote za viumbe tangu miaka 1400 ilopita.
حفظ الرجال، والنساء، والصغار والضعفاء.
Amehifadhi haki za wanaume, wanawake, watoto na wanyonge.
حفظ حقوق الحيوان والنبات وحث على الاعتناء بالأرض.
Amehifadhi haki za wanyama mimea na akahimiza kutunza mazingira.
أمرنا بحسن الخلق ونظّم العلاقة بين الأقارب والجيران.
Ametuamrisha tabia njema na akapangilia mahusiano baina ya ndugu wa karibu na majirani.
وأسس علاقة تعايش بين المسلمين وغير المسلمين.
Na akaasisiahusiano ya kuishi baina ya waislam na wasio waislam.
ونظّم العلاقات الأسرية التي تضمن للأب وللأم حقوق كبيرة وعظيمة على أبنائهم.
Na akapangilia mahusiano ya kifamilia ambayo yanahifadhi haki kubwa za baba na mama kwa watoto wao.
منع الظلم ودعا للعدل والمحبة والتكاتف والتعاون للخير.
Amekataza dhulma na akalingania katika uadilifu na mapenzi na kushikamana na kusaidiana katika kheri.
دعا لمساعدة المحتاج وزيارة المريض والمحبة والتناصح بين كل الناس.
Amelingania katika kusaidia wenye kuhitaji na kutembelea wagonjwa na kupendana na kunasihiana baina ya watu wote.
منع على المسلمين المعاملات السيئة مثل السرقة والغش والقتل والظلم.
Amekataza waislamu matendo maovu kama wizi na ghishi na uuwaji na dhulma.
إنه من غيّر حياتنا وطباعنا السيئة إلى حسنة.
Yeye ndio amebadilisha maisha yetu na tabia zetu mbaya kuja katika tajia nzuri.
علم المسلم أن لا يسرق.
Amrmfundisha muislam asiibe.
علم المسلم أن لا يكذب.
Amemfundisha muislam asidanganye.
علم المسلم أن لا يشرب الخمر.
Amenfundisha muislam asinywe pombe.
علم المسلم أن لا يزني.
Amemfundisha muislam asizini.
علم المسلم أن لا يغش.
Amemfundisha muislamu asifanye ghishi.
علم المسلم أن لا يقاتل الأبرياء.
Amemfundisgq muislam asiue wasiokuwa na hatia.
علم المسلم أن لا يؤذي جاره مسلما كان أو كافرًا.
Amemfundisha muislam asimuudhi jirani yake awe muislam au kafiri.
علم المسلم أن يبر بوالديه ويخدمهما ولو كانا على غير دينه.
Amemfundisha muislam kuwafanyia wema wazazi wake na awahudumie hata kama watakuwa si katika dini yake.
علم المسلم أن يعطف على الصغار وعلى النساء وعلى الضعفاء وكبار السن.
Amemfundisha muislam kuwaonea huruma watoto na wanawake na wanyonge na watu wazima.
علم المسلم أن لا يعذب البشر ولا الحيوانات ولا يفسد البيئة.
Amemfundisha muislam asiadhibu watu wala wanyama wala asiharibu mazingira.
علم المسلم أن يرحم ويحب زوجته ويهتم ويعطف على أبنائه حتى آخر يوم من عمره.
Amemfundisha muislam amuhurumie na kumpenda mke wake na awatilie umuhimu na kuwaonea huruma watoto zake mpaka siku ya mwisho ya umri wake.
علم المسلم أن لا تنتهي علاقته بأولاده بعد سن الرشد أبدا.
Amemfundisha muislam asikate mahusiano na watoto wake kwa kufikia watoto wake umri wa balehe.
كل مسلم يحب محمدًا ﷺ أكثر من كل مخلوق.
Kila muislamu anampenda Muhammad ﷺ kuliko viumbe vyote.
بشّر به موسى وعيسى عليهما السلام.
Amebashir ujio wake Musa na Issa juu yao amani.
كل مسلم يحب موسى وعيسى عليهما السلام ويؤمن أنهما من أفضل الأنبياء عليهم السلام.
Kila muislam anamoenda musa na Isa na anaamini ya kwamba wao ni katika mitume bora juu yao amani.
بعث محمدا ﷺ للعرب وغير العرب
Ametumwa Muhammad ﷺ kwa waarabu na wasio kuwa waarabu.
ولا فرق في دينه بين عربي وغير عربي إلا بالتقوى.
Na hakuna tofauti katika dini yake baina ya mwarabu na asiekuwa mwarabu isipokuwa kwa uchamungu.
إنه محمد رسول الله ﷺ.
Hakika yeye ni Muhammadﷺ mtume wa Allah .
هل عرفتم لماذا يحب كل المسلمون محمدًا ﷺ؟
Je mmetambua kwa kwa nini waislamu wote wanampenda Muhammad ﷺ?
هل عرفتم ماذا يعنى محمدًا ﷺ للمسلمين؟
Je mmetambua nini anakusudia Muhammad ﷺ kwa waislam?
للمزيد من علم عن نبي الله محمد ﷺ وتعلمه...
Kwa ziada ya elimu kuhusu Mtume Muhammad ﷺ na mafunzo yake....
Ni nani Mtume Muhammad ﷺ, na kitu gani ametufundisha?
Scan QR Code | Use a QR Code Scanner to fast download directly to your mobile device