
Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan
Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan Kinakusanya mambo ya fuatayo:- 1- Maswali ya kaburini matatu. Nayo ni risala yenye thamani imekusanya misingi ya wajibu kwa mwanadamu kuitambua na ambayo anaulizwa kaburini, na aina za ibada alizoamrisha Allaah na kubainisha daraja za dini. 2-القواعد الأربع Risala fupi ambayo inabainisha kanuni za tawhiid na baadhi ya shubha ambazo wanatolea hoja washirikina na majibu juu ya hoja hizo. 3- نواقض الإسلام Matini fupi...
Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan
Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan
Kinakusanya mambo ya fuatayo:-
1- Maswali ya kaburini matatu.
Nayo ni risala yenye thamani imekusanya misingi ya wajibu kwa mwanadamu kuitambua na ambayo anaulizwa kaburini, na aina za ibada alizoamrisha Allaah na kubainisha daraja za dini.
2-القواعد الأربع
Risala fupi ambayo inabainisha kanuni za tawhiid na baadhi ya shubha ambazo wanatolea hoja washirikina na majibu juu ya hoja hizo.
3- نواقض الإسلام
Matini fupi yametajwa ndani yake baadhi mambo ya hatari katika dini ya muislam ,
Mambo hayo pamoja kuwa ni ya hatari ni yenye kufanyika sana, yametajwa ili aweze kujihadhari muislam na aogopee juu ya nafsi yake.
Amakiweka mtunzi katika mpangilio mzuri kwa mfumo wa majedwali na vigawanyo mbali mbali, amataja ndaji yake makusudio na maana za ujumla, na akaweka baada ya kila matini maswali na mitihani, yote hayo pasi na ufupi wenye mapungufu wala urefu wenye kuchosha.

Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan
Scan QR Code | Use a QR Code Scanner to fast download directly to your mobile device