Kwa nini hatusherekei mwaka mpya?
Kwa nini hatusherekei mwaka mpya? الأصل في الأعياد على اختلاف مسميتها أنها من شعائر الاديان. Asili ya sherehe za kidini kwa jina zao tofauti kwa hakika ni alama za kidini. وقد تواترت النصوص الشرعية بحصر أعياد المسلمين في عيدين كل عام هما الفطر والأضحى Na vitabu vya sheria zimebainisha wazi ya kuwa iddi ya kiislamu ni mbili, iddul fitr na iddul adha. وعيد كل أسبوع هو يوم...
Kwa nini hatusherekei mwaka mpya?
Kwa nini hatusherekei mwaka mpya?
الأصل في الأعياد على اختلاف مسميتها أنها من شعائر الاديان.
Asili ya sherehe za kidini kwa jina zao tofauti kwa hakika ni alama za kidini.
وقد تواترت النصوص الشرعية بحصر أعياد المسلمين في عيدين كل عام هما الفطر والأضحى
Na vitabu vya sheria zimebainisha wazi ya kuwa iddi ya kiislamu ni mbili, iddul fitr na iddul adha.
وعيد كل أسبوع هو يوم الجمعة
Na idd ya kila wiki ambaye ni ijumaa.
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم إن لكل قوم عيدا، وهذا عيدنا.
Mtume صلى الله عليه وسلم amesema kila umma iko na idd yake, na hii ni idd yetu.
وما سوى ذلك من أعياد كالكريسماس ورأس السنة الميلادية وغيرها فهي لأهل الكتاب.
Na sherehe zingine zisizokuwa hizi kama krismasi na mwaka mpya ni ya mayahudi na wakristo.
ولا يجوز للمسلم اعتبرها ولا الاحتفال بها.
Na haifai muislamu kuitilia maanani au kuisherekea.
ولا التهنية بها أو المشاركة فيها
Au kuwapongeza au kushirikiana nao.
ويدخل في ذلك:إهداؤم ما هو من لوازمها
Na hii ina maana pia ya kuwapatia zawadi ambazo wanatumia kuisherekea.
أو بيعهم هذه المستلزمات من أنوار وأشجار ومأكولات معينة.
Au kuwauzia vitu wanazotumia kuisherekea nayo kama vile vitu za kuleta mwangaza au miti au vyakula vya kipeke kwa ajili ya hii sherehe.
فإن هذا منهي عنه لسببين:
hii imekatazwa kwa ajili ya sababu mbili.
الأول:إن في ذلك تشبهابهم، وإقرارا لهم على كفرهم، و قد حرم الإسلام التشبه بالكافرين فيما هو من خصائصهم.
Ya kwanza ni kujifananisha na wao na kukiri kwa kufri wanaoifanya na uislamu imeharamisha kujifananisha na makafiri kwa vitu ambazo wanazozifanya.
الثاني: إن في هذه الأعياد تبتداعا وإحداثا في دين الله تعالى.
Ya pili ni kuwa hizi sherehe ni uzushi kwa dini ya Allah.
قال ابن القيم رحمه الله: وأما التهنئة بشعائر الكفر المختصة به فحرام بالاتفاق.
Ibn qayyim (Allah amrehemu) amesema kupongeza wasiokuwa waislamu kwa sherehe zao ni haram.
كأن يهنئهم بأعيادهم فيقول: عيد مبارك عليك أوتهنأ بهذا العيد أو نحوه.
Kama vile kuwapongeza kuwaambia idd mubarak au kuweni na holiday njema au vitu kama hizi.
فهذا إن سلم قائله من الكفر، فهو من المحرمات.
Anayesema hivi kama hatakuwa ameingia katika kufr, atakuwa amefanya kitu ambaye ni haram.
ولا يعني هذا إساءة المعاملة، ولا الاعتداء.
Na hii haimanishi ya kuwa ni muamala mbaya kwao au uadui kwao.
فإن رفض المشاركة ليس اعتداء، وإنما هو تمييز المسلم وستقلاله في معتقد وشعائره عن غيره.
Kwa sababu kukataa kusherekea na wao sio uadui bali ni kuonyesha tofauti ya muislamu kwa itikadi yake na dini yake na kwa asiyekuwa muislamu.
ولهذا جاز قبول الهدية منهم.
Kwa ajili ya hii inaruhusiwa kuchukua zawadi kutoka kwao.
ولا يعد ذلك مشاركة ولا إقرارا للاحتفال.
Na hii haimanishi unashiriki na wao au unakiri sherehe zao.
بل تؤخذ على سبيل البر وقصد التأليف والدعوة إلى الإسلام.
Bali ni kuchukua zawadi kwa njia ya kujenga nyoyo na njia ya kuwafanyia daawah ya kuingia katika uislamu.
ما لم يكن مما ذبحوه لأجل العيد
Isipokuwa kitu ambayo wamechinja kwa ajili ya sherehe zao.
قال شيخ الإسلام ابن التيمية رحمه الله:أما قبول الهدية منهم يوم عيدهم فقد قدمنا عن علي ابن طالب رضي الله عنه أنه أتي بهدية النيروز فقبلها.
Sheikhul Islam ibn taymiyyah (Allah amrehemu) amesema kupokea zawadi kwa wasiokuwa waislamu katika sherehe zao ni sawa kwani Ali ibn Abi talib aliletewa zawadi kutoka sherehe za wasiokuwa waislamu akaipokea.
وعن أبي برزة أنه كان له سكان مجوس فكانوا يهدون له في النيروز والمهرجان. فكان يقول لأهله ما كان من فاكهة، فكلوه وما كان غير ذلك فردوه.
Na Abi barzah amesema kulikuwa na watu ambao ni majus na walikuwa wakimletea zawadi wakati wa sherehe zao, na alikuwa anaambia familia yake kama ni matunda kuleni, na kama sio matunda warudishieni.
File | Action |
---|---|
Kwa nini hatusherekei mwaka mpya? | Download |
Kwa nini hatusherekei mwaka mpya?
Scan QR Code | Use a QR Code Scanner to fast download directly to your mobile device