Free DownloadVIGAWANYO NA MISINGI (KANUNI) ZA KITABU CHA “ALQAULUL- MUFID”(MANENOYENYE FAIDA)
Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan nacho ni ufupilizo wa kitabu الفول المفيد على كتاب التوحيد للعلامة العثيمين رحمه الله ambacho kinazingatiwa ni katika vitabu vyenye manufaa katika zama zetu hizi katika kubainisha tawhiid ambayo ameiwajibisha Allaah kwa waja wake, na kubainisha yale yanayopingana na msingi huu wa tawhiid ambayo ni shirki…

