Swahili Kiswahili السواحلية ??

43 سواحلي ?? kwa kiswahili ـ Uislamu-maahad ya sunnah. Inasimamiwa na:Dr. Haytham sarhaan.
اللغة السواحلية
kiswahili

YouTube
https://www.youtube.com/channel/UCl_5eIx1FK7yGrPPFC1KGjw

https://youtube.com/@swahilisunnahinstitute

https://youtube.com/playlist?list=PLBFEt29we81RSyzi41l8uf1tvXvDO4n9e

Facebook
https://www.facebook.com/pg/43-%D8%B3%D9%88%D8%A7%D8%AD%D9%84%D9%8A-D-Haythem-sarhan-113908833334500/community/

Telegram
https://t.me/hsarhan41

https://whatsapp.com/channel/0029VaDHYraEVccKt5Y7Sv1k

?https://sarhaan.com/a/swahili-kiswahili-%d8%a7%d9%84%d8%b3%d9%88%d8%a7%d8%ad%d9%84%d9%8a%d8%a9/

Site
https://alsarhaan.com/swa

Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kwa fadla ya Allah hii ndo kituo chetu mpya kwa lugha ya kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCVjvT26ZoWWPs49Xu6oS_Ag

Iko tayari kwa ukaguzi, Je munaweza kutusaidia kukagua na kutuma maoni.

Na pia kushiriki katika kituo na kutuma katika Vikundi.

Allah ajalie iwe katika mizani yenu.

Facebook (https://www.facebook.com/pg/43-%D8%B3%D9%88%D8%A7%D8%AD%D9%84%D9%8A-D-Haythem-sarhan-113908833334500/community/)

السواحلية Kiswahili
مناطق التحدث بها:المنطقة الشرقية والمركزية من إفريقية، ككينيا، وتنزانيا، وزائير
عدد الناطقين بها: نحو ٥۰ مليوناً

Kujeni tujifunze herufi za lugha ya kiarabu na vokali zake.

Share this book                 هيا نتعلم حروف اللغة العربية مع الحركات. Kujeni tujifunze herufi za lugha ya kiarabu na vokali zake. ارسم وألوان. Kuchora na rangi zake. اعداد القسم العلمي بمعهد السنة بإشراف الشيخ هيثم سرحان. Imetayarishwa na idara ya elimu katika mahad sunnah chini ya usimamizi wa sheikh Heitham Sarhaan. سواحلي

Kujeni tujifunze herufi za lugha ya kiarabu na vokali zake. Read More »

Tufaha ya macintosh imeshangaza watu duniani, lakini nani ameumba tufaha ambaye tunakula?

Share this book                 البحث عن الحقيقة اللغة السواحلية Tufaha ya macintosh imeshangaza watu duniani, lakini nani ameumba tufaha ambaye tunakula? Stethescopu iligunduliwa na daktari mfaransa, lakini nani ameumba masikio ambayo inatusaidia kusikia kila kitu? Kikokotoo iligunduliwa na mfaransa pascal, lakini nani aliumba bongo ya binadamu ambaye iko sawa na kikokotoo millioni moja inayofanya kazi wakati moja?

Tufaha ya macintosh imeshangaza watu duniani, lakini nani ameumba tufaha ambaye tunakula? Read More »

Ubao kuhusu saum

Share this book                 Ubao kuhusu saum, iliyoandikwa na Sheikh Heitham Sarhaan, Ametaja Mas’ala muhimu kuhusu saum ya wajib na ya sunnah, Na maana ya saum, na wakati saum inachukiza kufunga, na wakati ni haram, Pamoja na Ahkam muhimu za fiqhi kuhusu saum katika ubao moja. اللغة السواحلية

Ubao kuhusu saum Read More »

Zakah ni Aina Mbili

Share this book                 Zakah ni Aina Mbili سواحيلي Ubao kuhusu zakat, iliyoandikwa na Sheikh Heitham Sarhaan, Ametaja Mas’ala muhimu kuhusu zakat ya wajib na ya sunnah, Na maana ya zakat, na Mali ambayo zakat ni wajib, Na wanaopewa zakat, pamoja na Ahkam muhimu ya fiqhi kuhusu zakat katika ubao moja. اللغة السواحلية.  

Zakah ni Aina Mbili Read More »

Siku ya jumanne ni Siku ya Ashura ya mwezi wa Muharram. 16/7/2024

Share this book                 Siku ya jumanne ni Siku ya Ashura ya mwezi wa Muharram. 16/7/2024 Fadla yake: inafuta dhambi ya mwaka iliopita kama vile ilivyothibiti katika sahih Muslim. Sunnah ni kuifunga pamoja na siku ya tisa ambaye ni 15/7/2024 Au siku ya kumi na moja ya Muharram ambaye ni 17/7/2024.

Siku ya jumanne ni Siku ya Ashura ya mwezi wa Muharram. 16/7/2024 Read More »

Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku?

Share this book                 Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku? Imepokelewa na ibn abbas ya kuwa mtume ﷺ amesema: hakuna siku ambazo vitendo njema inapendezwa mbele ya Allah kuliko hizi siku. (yaani siku kumi za Dhil hijja.) Wakasema: hata jihad kwa njia ya Allah? Akasema ﷺ, hata jihad kwa njia ya Allah, isipokuwa yule mwenye

Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku? Read More »

Dalili ya muislam mpya – Ni nini uislam? – Kiswahili

Share this book                 Dalili ya muislamu mpya au ni nini uislamu? Ubao wa kuelekeza maana ya dini ya uislamu na vile muislamu atajifunza msingi wa dini, Ndani yake: 1 ubao wa tawheed na viwango vyake na viwango vya dini na viwango vya vitu haram. 2 sifa ya wudhu na tayammum na ghusl. 3 sifa ya salah

Dalili ya muislam mpya – Ni nini uislam? – Kiswahili Read More »

Nitaingia katika uislamu aje?

Share this book                 رِسَالَةٌ مُخْتَصَرَةٌ بِعُنْوَانِ: «كَيْفَ أَدْخُلُ فِي الإِسْلَامِ؟» مُتَرْجَمَةً إِلَى اللُّغَةِ: السواحلية <<Nitaingia katika uislamu aje?» إِعْدَادُ الْفَقِيرِ إِلَى عَفْوِ رَبِّهِ: هیثم بن مُحَمَّدٍ سَرْحَانِ المُدرِّس بمعهد الحرم بالمسجد النبوي – سابقا- والمُشرِف على معهد السُّنَّة (Nitaingia katika uislamu aje?) : ufulilizo wa kielimu na Sheikh Heitham sarhaan, inaongea kuhusu mambo muhimu ya Sheria

Nitaingia katika uislamu aje? Read More »

vigawanyo vya tawhid

Share this book                 Ubao kuhusu Tawheed, katika lugha ya Kiswahili, imetayarishwa na Sheikh Doktur Heitham Sarhaan, inabainisha viwango vya Tawheed pamoja na ufafanuzi wake, Na maratib za dini ya kiislamu, pamoja na kubainisha nguzo katika kila martaba, na viwango vya Haram na kutoa mifano wake na kubainisha Hukmu yake.

vigawanyo vya tawhid Read More »

Scroll to Top