


MANASIK (VITENDO) VYA HAJJ Manasik ya hajj: Ubao wa hadithi katika lugha ya kiswahili iliotengenezwa na sheikh doktur Heitham Sarhaan, inayobainisha kila kitu anayohitaji yule

Kwa nini hatusherekei mwaka mpya? الأصل في الأعياد على اختلاف مسميتها أنها من شعائر الاديان. Asili ya sherehe za kidini kwa jina zao tofauti kwa


Kitabu: Almuslim asswaghiyr kwa lugha ya kiswahilii kimetolewa na website ya (رابط الموقع) ambayo inasimamiwa na Sheikh Duktuur Haytham sarhaan, nayo ni matini iliyokusanya misingi

Haya Tujifunze: Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr. Haytham sarhaan , kinalenga kumfundisha mtoto wa kiislam misingi ya dini na akhlaq na afabu za

Tunajifunza lugha ya kiarabu (Mustawa wa kwanza) Mtunzi: Dr Haytham Sarhaam Mwalim wa maahad ya masjid annabawiy zamani na msimamizi wa maahad ssunnah Allaah amsamehe
43 سواحلي ?? kwa kiswahili ـ Uislamu-maahad ya sunnah. Inasimamiwa na:Dr. Haytham sarhaan.
اللغة السواحلية
kiswahili
YouTube
https://www.youtube.com/channel/UCl_5eIx1FK7yGrPPFC1KGjw
https://youtube.com/@swahilisunnahinstitute
Telegram
https://t.me/hsarhan41
https://whatsapp.com/channel/0029VaDHYraEVccKt5Y7Sv1k
?https://sarhaan.com/a/swahili-kiswahili-%d8%a7%d9%84%d8%b3%d9%88%d8%a7%d8%ad%d9%84%d9%8a%d8%a9/
Site
https://alsarhaan.com/swa
Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kwa fadla ya Allah hii ndo kituo chetu mpya kwa lugha ya kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCVjvT26ZoWWPs49Xu6oS_Ag
Iko tayari kwa ukaguzi, Je munaweza kutusaidia kukagua na kutuma maoni.
Na pia kushiriki katika kituo na kutuma katika Vikundi.
Allah ajalie iwe katika mizani yenu.
السواحلية Kiswahili
مناطق التحدث بها:المنطقة الشرقية والمركزية من إفريقية، ككينيا، وتنزانيا، وزائير
عدد الناطقين بها: نحو ٥۰ مليوناً