Tahadharini na madhambi yenye kudharauliwa
Kutoka kwa Sahal bin Sa'di Allah amridhie amesema: Amesema Mtume wa Allah rehema na amani ziwe juu yake: "Tahadharini na madhambi yenye kudharauliwa, kwani mfano wa madhambi yenye kudharauliwa, ni kama watu walioshuka chini ya bonde, akaja huyu na kijiti, na yule na kij…

