Hakitosimama kiyama mpaka zama zikaribiane
Imepokewa kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume -Sala na amani ziwe juu yake-: "Hakitosimama kiyama mpaka zama zikaribiane, mwaka utakuwa kama mwezi, na mwezi utakuwa kama wiki, na wiki kama siku, na siku kama saa, na saa itakuwa…

