Simama na uswali witiri ewe Aisha
Kutoka kwa Aisha -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Yakwamba Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- alikuwa akiswali swala zake za usiku, naye akiwa kajilaza mbele yake, inapobakia witiri, anamuamsha na anaswali witiri. Na katika riwaya yake: inapobakia witiri, anas…

