Lau kama mtu atadhamiria ubaya akiwa katika mji wa eden (Yemen) mbali huko, basi Mwenyezi Mungu angemuonjesha adhabu chungu
Choose an available translation of this Hadeeth
Hadeeth text
Imepokelewa kutoka kwa Abdullahi bin Masoud radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake (Hadithi Marfu'u): Katika kauli yake Aliyetakasika na kutukuka: "Na yeyote anayetaka, ndani ya Msikiti Mtukufu, kwenda kombo na haki kwa njia ya udhalimu na akamuasi Mwenyezi Mungu humo ndani, basi tutamuonjesha adhabu kali yenye kuumiza" [Al-Hajji:25] Akasema: "Lau kama mtu atadhamiria ubaya akiwa katika mji wa eden (Yemen) mbali huko, basi Mwenyezi Mungu angemuonjesha adhabu chungu".
Explanation
Benefits
Amesema Assa'diy: Na katika aya hii tukufu, kuna uwajibu wa kuiheshimu Haramu na kuitukuza sana, na tahadhari ya kudhamiria maasi ndani yake na kuyatenda.
Amesema Adh-dhahaku: Hakika mtu anapodhamiria ovu Makka huku akiwa katika ardhi nyingine linaandikwa juu yake kuwa ni dhambi hata kama hajalitenda.
Attribution
Categories
Share hadeeth
Sharing options · 0 Total shares

