
Dalili ya muislam mpya - Ni nini uislam? - Kiswahili
Dalili ya muislamu mpya au ni nini uislamu? Ubao wa kuelekeza maana ya dini ya uislamu na vile muislamu atajifunza msingi wa dini, Ndani yake: 1 ubao wa tawheed na viwango vyake na viwango vya dini na viwango vya vitu haram. 2 sifa ya wudhu na tayammum na ghusl. 3 sifa ya salah ya mtume صلى الله عليه وسلم 4 kisa cha Myahudi na vile alikuwa muislamu. 5 Manasik ya hajj na umrah. 6 sunnah ya fitra. 7 Tabia ya muislamu. 8 ufupisho wa haki zilizolinganiwa na fitra na Sheria ikiitilia mkazo. 9...
Dalili ya muislam mpya - Ni nini uislam? - Kiswahili
Dalili ya muislamu mpya au ni nini uislamu?
Ubao wa kuelekeza maana ya dini ya uislamu na vile muislamu atajifunza msingi wa dini,
Ndani yake:
1 ubao wa tawheed na viwango vyake na viwango vya dini na viwango vya vitu haram.
2 sifa ya wudhu na tayammum na ghusl.
3 sifa ya salah ya mtume صلى الله عليه وسلم
4 kisa cha Myahudi na vile alikuwa muislamu.
5 Manasik ya hajj na umrah.
6 sunnah ya fitra.
7 Tabia ya muislamu.
8 ufupisho wa haki zilizolinganiwa na fitra na Sheria ikiitilia mkazo.
9 ufupisho wa njia ya manufaa kukuwa na maisha mazuri.
10 Ni nani mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم na ametufundisha nini?

Dalili ya muislam mpya - Ni nini uislam? - Kiswahili
Scan QR Code | Use a QR Code Scanner to fast download directly to your mobile device