
Tunajifunza lugha ya kiarabu
Tunajifunza lugha ya kiarabu (Mustawa wa kwanza) Mtunzi: Dr Haytham Sarhaam Mwalim wa maahad ya masjid annabawiy zamani na msimamizi wa maahad ssunnah Allaah amsamehe na wazazi wake na yule aliyesaodia katika kuchapa hiki kitabu. Mfululizo wa vitabu miongoni mwa tunzi za sheikh Haytham sarhaan. Lengo la kitabu ni kufundisha lugha ya kiarabu. Kwa kuanza kufundisha misingi yake na kupanda hatua kwa hatua mpaka kuiweza vizuri hii lugha tukufu ambayo ni lugha ya Qur'an na sunna na ndio ufungui wa kujifunza...
Tunajifunza lugha ya kiarabu
Tunajifunza lugha ya kiarabu
(Mustawa wa kwanza)
Mtunzi: Dr Haytham Sarhaam
Mwalim wa maahad ya masjid annabawiy zamani na msimamizi wa maahad ssunnah
Allaah amsamehe na wazazi wake na yule aliyesaodia katika kuchapa hiki kitabu.
Mfululizo wa vitabu miongoni mwa tunzi za sheikh Haytham sarhaan.
Lengo la kitabu ni kufundisha lugha ya kiarabu.
Kwa kuanza kufundisha misingi yake na kupanda hatua kwa hatua mpaka kuiweza vizuri hii lugha tukufu ambayo ni lugha ya Qur'an na sunna na ndio ufungui wa kujifunza dini ya uislam
Ni mfululizo wenye kufaidisha na upo katika daraja tofauti zinazonasibiana na umri na kiwango cha kielimu.
Tunajifunza lugha ya kiarabu
Scan QR Code | Use a QR Code Scanner to fast download directly to your mobile device