

هيا نتعلم حروف اللغة العربية مع الحركات. Kujeni tujifunze herufi za lugha ya kiarabu na vokali zake. ارسم وألوان. Kuchora na rangi zake. اعداد القسم

البحث عن الحقيقة اللغة السواحلية Tufaha ya macintosh imeshangaza watu duniani, lakini nani ameumba tufaha ambaye tunakula? Stethescopu iligunduliwa na daktari mfaransa, lakini nani ameumba

Ubao kuhusu saum, iliyoandikwa na Sheikh Heitham Sarhaan, Ametaja Mas’ala muhimu kuhusu saum ya wajib na ya sunnah, Na maana ya saum, na wakati saum

Ubao kuhusu zakat, iliyoandikwa na Sheikh Heitham Sarhaan, Ametaja Mas’ala muhimu kuhusu zakat ya wajib na ya sunnah, Na maana ya zakat, na Mali ambayo

Siku ya jumanne ni Siku ya Ashura ya mwezi wa Muharram. 16/7/2024 Fadla yake: inafuta dhambi ya mwaka iliopita kama vile ilivyothibiti katika sahih Muslim.

Siku za Dhil Hijja. Kivipi tutakaribisha hizi siku? Imepokelewa na ibn abbas ya kuwa mtume ﷺ amesema: hakuna siku ambazo vitendo njema inapendezwa mbele ya

Dalili ya muislamu mpya au ni nini uislamu? Ubao wa kuelekeza maana ya dini ya uislamu na vile muislamu atajifunza msingi wa dini, Ndani yake:

رِسَالَةٌ مُخْتَصَرَةٌ بِعُنْوَانِ: «كَيْفَ أَدْخُلُ فِي الإِسْلَامِ؟» مُتَرْجَمَةً إِلَى اللُّغَةِ: السواحلية <<Nitaingia katika uislamu aje?» إِعْدَادُ الْفَقِيرِ إِلَى عَفْوِ رَبِّهِ: هیثم بن مُحَمَّدٍ سَرْحَانِ المُدرِّس

Ubao kuhusu Tawheed, katika lugha ya Kiswahili, imetayarishwa na Sheikh Doktur Heitham Sarhaan, inabainisha viwango vya Tawheed pamoja na ufafanuzi wake, Na maratib za dini
43 سواحلي ?? kwa kiswahili ـ Uislamu-maahad ya sunnah. Inasimamiwa na:Dr. Haytham sarhaan.
اللغة السواحلية
kiswahili
YouTube
https://www.youtube.com/channel/UCl_5eIx1FK7yGrPPFC1KGjw
https://youtube.com/@swahilisunnahinstitute
Telegram
https://t.me/hsarhan41
https://whatsapp.com/channel/0029VaDHYraEVccKt5Y7Sv1k
?https://sarhaan.com/a/swahili-kiswahili-%d8%a7%d9%84%d8%b3%d9%88%d8%a7%d8%ad%d9%84%d9%8a%d8%a9/
Site
https://alsarhaan.com/swa
Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kwa fadla ya Allah hii ndo kituo chetu mpya kwa lugha ya kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCVjvT26ZoWWPs49Xu6oS_Ag
Iko tayari kwa ukaguzi, Je munaweza kutusaidia kukagua na kutuma maoni.
Na pia kushiriki katika kituo na kutuma katika Vikundi.
Allah ajalie iwe katika mizani yenu.
السواحلية Kiswahili
مناطق التحدث بها:المنطقة الشرقية والمركزية من إفريقية، ككينيا، وتنزانيا، وزائير
عدد الناطقين بها: نحو ٥۰ مليوناً