Ataletwa mtu siku ya Kiyama, kisha atupwe motoni, ujiviringishe utumbo na vyote vilivyomo tumboni mwake, atazunguka nao (motoni) kama punda anavyozunguka na jiwe la kusagia nafaka
Kutoka kwa Osama bin Zaidi radhi za Allah ziwe juu yake: Aliambiwa: Je, huingii kwa Othman uzungumze naye? Akasema: Hivi mnadhani kuwa mimi siwezi kumsemesha jambo mpaka nanyi msikie? Wallahi nimekwishamsemesha kwa mambo yaliyo kati yangu na yeye, na wala sitaki kufungu…

