Moyo wa mzee huendelea kuwa kijana katika mambo mawili: Katika kupenda dunia na matumaini ya muda mrefu
Choose an available translation of this Hadeeth
Hadeeth text
Imepokelewa kutoka kwa Abuu Huraira -radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Nilimsikia Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- akisema: "Moyo wa mzee huendelea kuwa kijana katika mambo mawili: Katika kupenda dunia na matumaini ya muda mrefu".
Explanation
Benefits
Hapa kuna ishara ya kuonyesha ubaya wa kuwa na matumaini ya muda mrefu, na pupa ya kukusanya mali, na hilo linachochea kujiandaa na kifo na ubora wa kutoa sadaka kwa mwenye uwezo, na masikini kujizuia kuomba.
Mambo yanayopendeka zaidi kwa mwanadamu ni nafsi yake, kwani anatamani iendelee kubakia, akapenda kwa hilo kuwa na umri mrefu, na akapenda mali; kwa sababu ni katika sababu kubwa za kudumu kwa afya na starehe, kila anapohisi kukaribia kumalizika kwa hilo basi mapenzi yanazidi kuwa makubwa, na hamu yake ya kutamani idumu inaongezeka.
Attribution
Categories
Share hadeeth
Sharing options · 0 Total shares

