Nina haja gani mimi na dunia, kwani mimi katika dunia hii ni kama msafiri aliyeshuka chini ya mti kisha akaondoka akauacha
Kutoka kwa Abdallah bin Masudi radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Alilala Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika mkeka, akasimama mkeka ukiwa umemuathiri katika ubavu wake, tukasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, lau tungelikuandalia godoro: Akasema: "Nina haja g…

