Ikiwa mtapenda nitakupeni, lakini mali hii tajiri hana fungu ndani yake wala mwenye nguvu mwenye uwezo wa kuchuma mali
Kutoka kwa Ubaidillah bin Adiy binil-Khiyari amesema: Walinieleza watu wawili kuwa wao walimjia Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika Hija ya kuaga wakati akigawa sadaka, wakamuomba katika sadaka hizo, akatunyanyulia macho kisha akayashusha, akatuona ni watu shupav…

