Hakika Allah na Mtume wake ameharamisha kuuza pombe, na mzoga na nguruwe na masanamu
Kutoka kwa Jabiri bin Abdillah radhi za Allah ziwe juu yao na baba yake, yakwamba yeye alimsikia Mtume rehema na amani ziwe juu yake, akisema siku ya ufunguzi wa mji wa Makka, akiwa Makka: "Hakika Allah na Mtume wake ameharamisha kuuza pombe, na mzoga na nguruwe na masa…

