Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu
Choose an available translation of this Hadeeth
Hadeeth text
Kutoka kwa Buraida -radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu -rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: "Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu".
Explanation
Benefits
Amana inakusanya utiifu na ibada, na kuwekeza, na pesa tasilimu, na amana.
Kiapo hakikubaliki ila kwa kuapa kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu au kwa jina miongoni mwa majina yake au kwa sifa katika sifa zake.
Amesema Al-Khattwabi: Hadithi inaonekana kuwa karaha hapa ni kwa sababu aliamrisha aape kwa Allah na kwa sifa zake, na amana si katika sifa zake, bali ni amri katika amri zake, na ni faradhi katika faradhi zake, wakakatazwa hilo kwakuwa ndani yake kuna kuifanya amana kuwa sawa na majina ya Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kutukuka na sifa zake.
Attribution
Categories
Share hadeeth
Sharing options · 0 Total shares

