HadeethEnc · 1.18.0
Hakuna kujidhuru wala kusababisha madhara, na atakayedhuru Allah naye atamdhuru, na atakayemtia mtu uzito Mwenyezi Mungu atamtia uzito naye
Available translations
Choose an available translation of this Hadeeth
01
Hadeeth text
Imepokewa Kutoka kwa Abuu Saidi Al-Khudri -Radhi za Allah ziwe juu yake- yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema: "Hakuna kujidhuru wala kusababisha madhara, na atakayedhuru Allah naye atamdhuru, na atakayemtia mtu uzito Mwenyezi Mungu atamtia uzito naye".
02
Explanation
Amebainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa ni lazima kuzuia madhara kwa aina zake zote na sababu zake zote kwako na kwa wengine,ni haramu kwa yeyote kujiudhi mwenyewe na mwingine kwa kiwango sawa.
Na ni haramu kwake kukabiliana na madhara kwa madhara; kwa sababu madhara hayaondoshwi kwa madhara, isipokuwa kama itakua katika njia ya kulipiza kisasi pasina kuvuka mipaka.
Kisha akabainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- adhabu pale yanapotokea madhara kwa mtu mwenye kuwadhuru watu, na pale zinapotokea tabu kwa mtu mwenye kuwatia watu tabu.

03
Benefits
Katazo la kulipiza kwa zaidi ya vile ulivyofanyiwa.
Mwenyezi Mungu hakuwaamrisha waja wake lolote lenye kuwadhuru.
Katazo la kujidhuru au kudhuru ima kwa kauli au kitendo au kuacha.
Malipo hulingana na kitendo, atakayedhuru Mwenyezi Mungu naye atamdhuru, na atakaye tia ugumu Mwenyezi Mungu naye atamtia ugumu.
Katika kanuni za sheria: Ni "Madhara huondoshwa", Hivyo, sheria haikubaliani na madhara, na inakataza kujidhuru.

Attribution
[Imepokelewa na Addar- Alqutni]
Categories
Share
Share hadeeth
Sharing options · 0 Total shares