vigawanyo vya tawhid
Share this book Ubao kuhusu Tawheed, katika lugha ya Kiswahili, imetayarishwa na Sheikh Doktur Heitham Sarhaan, inabainisha viwango vya Tawheed pamoja na ufafanuzi wake, Na maratib za dini ya kiislamu, pamoja na kubainisha nguzo katika kila martaba, na viwango vya Haram na kutoa mifano wake na kubainisha Hukmu yake.
vigawanyo vya tawhid Read More »









