Free DownloadTunajifunza lugha ya kiarabu
Tunajifunza lugha ya kiarabu (Mustawa wa kwanza) Mtunzi: Dr Haytham Sarhaam Mwalim wa maahad ya masjid annabawiy zamani na msimamizi wa maahad ssunnah Allaah amsamehe na wazazi wake na yule aliyesaodia katika kuchapa hiki kitabu. Mfululizo wa vitabu miongoni mwa tunzi za sheikh Haytham sarhaan. Lengo la kitabu ni kufundisha lugha ya kiarabu. Kwa kuanza…

