
VIGAWANYO NA MISINGI (KANUNI) ZA KITABU CHA “ALQAULUL- MUFID”(MANENOYENYE FAIDA)
Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan nacho ni ufupilizo wa kitabu الفول المفيد على كتاب التوحيد للعلامة العثيمين رحمه الله ambacho kinazingatiwa ni katika vitabu vyenye manufaa katika zama zetu hizi katika kubainisha tawhiid ambayo ameiwajibisha Allaah kwa waja wake, na kubainisha yale yanayopingana na msingi huu wa tawhiid ambayo ni shirki kubwa au yanayopunguza ukamilifu wake katika shirki ndogo. Amekiweka mtunzi katika mpangilio...
VIGAWANYO NA MISINGI (KANUNI) ZA KITABU CHA “ALQAULUL- MUFID”(MANENOYENYE FAIDA)
Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan nacho ni ufupilizo wa kitabu الفول المفيد على كتاب التوحيد للعلامة العثيمين رحمه الله ambacho kinazingatiwa ni katika vitabu vyenye manufaa katika zama zetu hizi katika kubainisha tawhiid ambayo ameiwajibisha Allaah kwa waja wake, na kubainisha yale yanayopingana na msingi huu wa tawhiid ambayo ni shirki kubwa au yanayopunguza ukamilifu wake katika shirki ndogo.
Amekiweka mtunzi katika mpangilio mzuri kwa mfumo wa majedwali na vigawanyo mbali mbali, ametaja ndani yake makusudio ya ujumla ya milango na maana za ujumla kwa ajili ya dalili , na akaweka baada ya kila kifungu maswali na mitihani, yote hayo pasi na ufupi wenye mapungufu wala urefu wenye kuchosha.

VIGAWANYO NA MISINGI (KANUNI) ZA KITABU CHA “ALQAULUL- MUFID”(MANENOYENYE FAIDA)
Scan QR Code | Use a QR Code Scanner to fast download directly to your mobile device