Sifa ya udhu na tayammum na kuoga

صفة الوضوء والتيمم والغسل:لوحة مصورة باللغة السواحلية ، من إعداد فضيلة الشيخ الدكتور هيثم سرحان، فيها ملخص صفة وضوء وتيمم وغسل النبي صلى الله عليه وسلم مع الصور التوضيحية.

Sifa ya udhu tayammum na josho: kipeperushi kilichowekwa picha kwa lugha ya kiswahili kilichoandaliwa na Sheikh Haytham sarhaan, ndani yake kuna ufupisho wa sifa ya udhu, tayammum, na josho la mtume (swala na salam ziwe juu yake) pamoja na picha zenye kuweka wazi.