Free DownloadDalili ya muislam mpya – Ni nini uislam? – Kiswahili
Dalili ya muislamu mpya au ni nini uislamu? Ubao wa kuelekeza maana ya dini ya uislamu na vile muislamu atajifunza msingi wa dini, Ndani yake: 1 ubao wa tawheed na viwango vyake na viwango vya dini na viwango vya vitu haram. 2 sifa ya wudhu na tayammum na ghusl. 3 sifa ya salah ya mtume…

