Free DownloadKitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan
Kitabu kwa lugha ya kiswahili amekitunga Dr Haytham sarhaan Kinakusanya mambo ya fuatayo:- 1- Maswali ya kaburini matatu. Nayo ni risala yenye thamani imekusanya misingi ya wajibu kwa mwanadamu kuitambua na ambayo anaulizwa kaburini, na aina za ibada alizoamrisha Allaah na kubainisha daraja za dini. 2-القواعد الأربع Risala fupi ambayo inabainisha kanuni za tawhiid na…

