Kitabu kwa lugha ya kiingereza amekitunga Dr Haytham Sarhaan, kinalenga kufundisha hati ya naskhi kwa kupitia hatua kwa hatua katika kujifundisha kuandika herufi kwa hali tofauti tofauti kisha kisha kufanyia kazi katika matni za kielimu, kama kinavyolenga pia kujifunza hati ya 'uthmaan nayo ni hati ambayo imeandikiwa mas-haf katika zama za 'uthmaan Radhiya llaah anhu kupitia kufanyia kazi kimatendo katika juzuu amma.
Kitabu kizuri kinawafaa watoto na wakubwa na wanaozungumza kiarabu na wasiozungumza.