Msiingie miji ya wale waliozidhulumu nafsi zao, isipokuwa muwe mnalia
Kutoka kwa Abdallah bin Omari radhi za Allah ziwe juu yao yeye na baba yake, amesema: Tulipita tukiwa pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika Hijiri (miji ya Thamudi), akasema kutuambia Mtume rehema na amani ziwe juu yake: "Msiingie miji ya wale waliozidhul…

