Hakuna kwa baba yako matatizo baada ya leo
Kutoka kwa Anas -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- amesema: alipozidiwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- akawa anagubikwa na matatizo (kilevi cha kifo -sakaratil mauti), akasema Fatma: Nalia kwa matatizo ya baba yangu, akasema: "Hakuna kwa baba yako matatizo b…

