Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Watu wa aina tatu mimi ndiye mgomvi wao siku ya Kiyama
Imepokelewa kutoka kwa Abuu Huraira radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake amesema: "Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Watu wa aina tatu mimi ndiye mgomvi wao siku ya Kiyama: Mtu aliyetoa (kiapo) kwa jina langu kisha akafanya usaliti,…

