Hivi hamna imani na mimi hali yakuwa mimi ni muaminiwa wa yule aliyeko mbinguni, zinanijia habari za mbingu asubuhi na jioni
Kutoka kwa Abuu Saidi Al-Kudry -radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Alituma Dhahabu Ally bin Abii Twalib kwenda kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kutokea Yemen, ikiwa ndani ya kipande cha ngozi iliyochubuliwa, ambayo haijapembuliwa kutoka katika udongo wake, ak…

