Ubao kuhusu saum

Spread the love

Ubao kuhusu saum, iliyoandikwa na Sheikh Heitham Sarhaan,

Ametaja Mas'ala muhimu kuhusu saum ya wajib na ya sunnah,

Na maana ya saum, na wakati saum inachukiza kufunga, na wakati ni haram,

Pamoja na Ahkam muhimu za fiqhi kuhusu saum katika ubao moja.

اللغة السواحلية