Siku ya jumanne ni Siku ya Ashura ya mwezi wa Muharram.
16/7/2024
Fadla yake: inafuta dhambi ya mwaka iliopita kama vile ilivyothibiti katika sahih Muslim.
Sunnah ni kuifunga pamoja na siku ya tisa ambaye ni 15/7/2024
Au siku ya kumi na moja ya Muharram ambaye ni
17/7/2024.