Free DownloadMaktaba ya Mtoto wa Kiislamu | مكتبة الطفل المسلم
Maktaba ya Mtoto wa Kiislamu | مكتبة الطفل المسلمKiswahili | السواحليةImeandaliwa na Sheikh Dkt. Haytham bin Muhammad Sarhan.Maktaba hii inajumuisha vitabu vitatu:Haya Tujifunze.Muislamu Mdogo.Haya Tujifunze Lugha ya Kiarabu.Mkusanyiko huu wa vitabu vya elimu umeandaliwa kwa ajili ya watoto wa Kiislamu, ili kuwasaidia kujifunza misingi ya dini ya Uislamu, Aqidah sahihi, ibada, adabu na maadili mema…

