TOFAUTI BAINA YA AHLU SUNNAH WAL JAMA NA BAINA YA WANAFIKI NA WALIOPOTEA.
SHEIK HAYTHAM IBN MUHAMMAD SARHAN
WANAFIKI NA WALIOPOTEA. AHL AS-SUNNAH WAL JAMA’AH
Kufanya shirk na vitu zinazopeleka mtu kwa shirk. Tawheed ya Allah na kukaa mbali na shirk. Aqeedah
Imeenea kufanya ziara kaburi na kutafuta baraka kwa maiti. Haikubaliwi kufanya tawaf kwa kaburi. Kaburi na mandhari
Makaburi na kumshirikisha Allah. Msikiti ya kuabudu Allah peke yake. Mahala pa kuabudu
Kuomba ma imamu wasiokosa na Ahlu bait na kuwategemea. Kuomba Allah peke yake na kumtegemea. Dua
Alama ya imam na al bait. Alama ya la illaha ila Allah hakuna apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah. Alama
Quran imebadilishwa na kuna Quran kubwa iliyokuwa na Fatma. Imetufikia kwa njia isiyokuwa na shaka, Allah amehifadhi, hakuna herufi moja imeongezwa wala imepunguzwa. Qur’an
Mitume pamoja na imam 12 na al bait. Mitume peke yao. Kutokuwa na makosa
Kauli ya ma imamu, matamanio na rai na hekaya. Qur’an, Sunnah, ijma na qiyas Chanzo cha sheria
Mahakama zinazotoa hukmu kulingana na fiqh ya jaafar. Mahakama zinazotoa hukmu kulingana na fiqhi ya sunnah. Mahala pa kutoa hukmu
Ni tisa kumi ya dini(ndani na nje) Hawatumi taqiya Taqiyah
Wanaongea mbaya kuhusu hao, wanawatukana, wanawakufurisha na wanawapatia majina mabaya. Ni lazima kuwapatia heshima, ni haramu kuongea mbaya kuhusu hao na kuingililia iliyotokea baina yao. Kuhusu Sahaba na wake wa mtume
Imamu ambaye hajulikani mahala yuko, Aliingia samarra tangu karne 12 na atatoka huko zama za mwisho. Ni kijana kutoka Ahlu bait ya mtume muhamad, bado hajazaliwa, Allah atampatia suluhu katika usiku moja. Almahdi
Eid Ashura(kifo ya hussein) na sherehe zingine Eidul Fitr na Eidul Adha peke yake Sherehe
Wameongeza maneno katika adhan, kila kikundi na adhan yake. Adhan ya Bilal na Abi mahdhura (waliofundishwa na mtume) Adhan
Wanasujudu kwa mchanga ya karbala sana sana. Wanasujudu kwa ardi na kila mahala safi. Kusujudu
Wanafanya hajj kwa karbala na mahala zingine tukufu kwao. Wanafanya hajj kwa makkah Hajj
Kutafuta baraka kwa makaburi na kuomba maiti na kufanya shirk. Kupata funzo na kufanyia dua maiti. Ziara ya kaburi
Yafaa hata kama ni kwa muda wa saa moja mchana! Ni haramu kwa sababu mtume ameikataza kutokana na fasadi iliyokuwa nayo. Nikkah ya mut’a
Kujikaribisha kwa Allah kwa kujipiga siku ya Ashura. Hairusiwi kujipiga wala kudhulumu nafsi ili kuhifadhi nafsi Kujipiga hadi kujitoa damu
Mahad Alsunnah- iliyosimamiwa na Sheikh Haytham ibn Muhammad Sarhan
معهد السُّنَّة - بإشراف السَّيخ هيثم بن محمَّد سرحان وفَّقه الله